Mara
ya kwanza tu Recho alipoanza kusikika, sauti yake ilianza kufananishwa
na ya Ray C. Kuanzia kwenye Kizunguzungu, Upepo na Nashukuru Umerudi,
Recho alikuwa Ray C mtupu.
Hata
hivyo hiyo haikumsumbua, Ray C ambaye alisema kuwa ni faraja kumsikia
Recho akiimba kama yeye na tangu hapo wamekuwa marafiki.
Lakini
wawili hawa, hawafanani sauti tu. Picha hii (hapo juu) iliwekwa na Ray C
kwenye Instagram na wengi walidai kuwa, warembo hao wanafanana kama
mapacha vile.
No comments:
Post a Comment