MWIGIZAJI
wa kike katika tasnia ya filamu Swahiliwood Rachel Haule amesema kuwa
sasa anasimama kama mtayarishaji na kutengeneza filamu zake mwenyewe na
kwa kuanza kaanza na filamu yake ya kwanza ya Vanessa
in Dilema ambayo ipo sokoni hivi karibuni huku akiamini kuwa ili upate
maslahi ni lazima uwe mtayarishaji na muigizaji na ndicho alichokifanya.

Rachel akiwa katika pozi

Filamu ya Vanessa in Dilema
“Unajua hata mtoto anaanza kwa kutambaa kisha anakuja hatua nyingine ya kusonga mbele zaidi, hivyo hata mimi nimepitia hatua hizo na kujikuta sasa ni mtayarishaji wa filamu na ni mwigizaji kwa kufanya hivyo unaweza kupata maslahi na kuona faida ya filamu,”anasema Recho.
Msanii huyo anasema kuwa msanii aliyemtia moyo na kuchochea juhudi zake na kujikuta anakuwa ni moja kati ya mabinti wanaosimama na kuwa naye katika kundi la wanawake wachapakazi ambao ni watayarishaji ni Odama na Johari ambao ni tofauti na wasichana wengi wasiojituma na kutengeneza filamu zao, tofauti na kusubiri kucheza filamu tu.

CREDIT: FILAMUCENTRAL
No comments:
Post a Comment