MTOTO wa kiume mwenye umri wa siku tatu ametupwa na mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Bhoke Masero katika Kijiji cha Nyasaricho, kwa kile kilichodaiwa kuwa ulemavu wa mdomo aliozaliwa nao.
Kwa mujibu wa wazazi wa kijana Chacha Sylvester aliyedaiwa kumpatia ujauzito binti huyo, Scholastica na Sylevester Chacha, mama wa mtoto huyo alimtupa na kumtelekeza mtoto huyo majira ya saa 12.00 jioni nyumbani kwao wiki iliyopita.
Walidai kuwa binti huyo aliyetupa mtoto alifika nyumbani hapo akiwa ameongozana na wazazi wake waliowataja kwa majina ya Kambi Siruri na Paulina Kambi wakiwa na mama mdogo wake ambapo walikiweka kichanga hicho mezani na kutoweka.INAENDELEA
No comments:
Post a Comment