MAMA mzazi wa aliyekuwa mchekeshaji maarufu hapa nchini marehemu ''Sharo Milionea'' (Husein Mkieti) Akiongea na masainyotambofu.com,Leo majira ya saa kumi jioni huko Jijini Tanga alifanya mazungumzo mafupi na Aliyekuwa rafiki wa karibu wa marehemu Sharo milionea (Masai Nyotambofu)

Masai Nyotambofu ambaye pia ni mmiliki wa website ya masainyotambofu.com,Alipozungumza na Mama Sharo walilizungumzia kumbukumbu ya marehemu Sharo milionea kwamba ili kuifanikisha Shughuli hio kunahitajika mchango wa
yeyote atakayeguswa na swala hili Hususan wasanii.Mama wa marehemu sharo Alisema kwamba hali ya kiuchumi kwake sio nzuri tangu mwanae afariki dunia, hivyo anahitaji msaada,..
Hii ni messege aliyonitumia mama sharo kabla hatujaonana ''Masai Nyotambofu''

Na haya hapa chini ndio majina ya mpokeaji wa kiasi cha fedha utakayotuma

NDUGU Msomaji wa website hii ukiguswa na Shwala hili Changia chochote kadri ya uwezo wako kupitia namba hio hapo katika picha ya Messege, Hizo ni namba za mama wa marehemu Sharo milionea.
No comments:
Post a Comment