13 November 2013
JE WAJUA WANAWAKE HUONA MBALI ILA NI WAZITO KUFANYA MAAMUZI..!!? SOMA HAPA...!!
Katika hali ya kawaida inajulikana kwamba wanawake ni viumbe dhaifu, ukiachana na hayo yote wanawake wamepewa uwezo mkubwa sana wa kuona mbali na kutabili mambo fulani ambayo huenda yakatokea, pia wamepewa uwezo mkubwa wa kutambua uongo na ukweli na wakati mwingine huisi tu jambo ambalo ki ukweli lipo au linaweza kutokea.
Ila tu wana udhaifu wao mkubwa, nao ni maamuzi. Mwanamke huchukua muda mrefu kufanya maamuzi juu ya jambo fulani ukilinganisha na mwanaume. Mwanamke anaweza kufikiri kuwa jambo fulani huenda halita kuwa sawa ila akashindwa kufanya maamuzi ni jinsi gani ya kulikabili, hivyo basi endapo viumbe hawa wawili(mwanamke na mwanaume wakiishi kwa ushirikiano na kwa upendo mara zote mafanikio hutokea...!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment