HUYU NDO MSANII WA MUZIKI KUTOKA BONGO ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA, SOMA HAPA
Canal Top wa kwanza kushoto
Madawa ya kulevya ni noma sana, yamesababisha vijana wengi wenye tamaa
kuishia kunyongwa au wengine wapo sero mpaka leo. Habari zilizotufikia
Bongoclan ni kua msanii kutoka kundi la Akudo Impact maarufu kama CANAL
TOP kakamatwa china akiwa na sembe AKA UNGA aka MADAWA YA KULEVYA. Sasa
bado hatujajua kesi yake inaendaje but mashushu wetu chna watalifanyia
hilo kazi na kuja na majibu sahihi ambayo tutawaletea wasomaji wetu
No comments:
Post a Comment