06 November 2013

HAYA SASA WADADA WA MJINI NIAMBIENI JE MNAWEZA VAA NGU YA AINA HII???? CHEKI HAPA









Actress Jamie Alexander




Ukiambiwa kuwa uyaone si maghorofa yanaoendelea kujengwa mjini, ni maajabu ya walimwengu wa dunia hii, na swagga zao haya publicity ni publicity iwe mbaya ama nzuri, dada Jamie Alexander alikitinga hiki kivazi wajameni na roho yake burudaniii huku akiwageuzia paparazzi pose tofauti wafyatue wajisikiavyo...


Would you dare rock this dress??
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname