13 November 2013

DIAMOND KATISHAAA MCHEKI AKIWA NIGERIA "NDANI YA STUDIO YA DAVIDO TUKIMALIZIA AUDIO YA NUMBER 1 REMIX"

 
Siku zote sitoacha kumshukuru Mungu kwa kila hatu
ninayopiga katika safari yangu ya Music,na sitokutendea 
haki nisiporudisha shukrani za dhati 


kwa wewe shabiki yangu wa kweli unae 
endele kunipa sapoti inayonifanya nizdi kukaza 
kukutengenezea mambo mazuri zaidi..hii ikiwa ni ziara
 yangu mhimu kabisa nchini Naija,kwa ajili ya kupika kile
 unachkisubilia kwa hamu,my number one remix na
 mwanangu Davido,hii ilikuwa ni jana usiku
 tukiwa studio,hii ni studio ya Davido iliyopo nyumbani
kwake na kkubwa tulichokuwa tunakifanya ni kumalizia kabisa 
audio kabla ya kuingia mzigoni kushoot kideo.......
Davido nyuma ya screen akifanya mambo yake kwa umakini kabisa.....!!!




 Team yote hii ni kuhakikisha kila kitu 
kinaenda sawa kabisa..Babu tale kwa mbali mwenyewe kamechishaa.....!!!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname