Maneno kama:-‘Goldenworld #blessed.’, ‘#2kings…… Work hard,play harder.’ na ‘A king in my own world…. #Blessed.’ yalitumika kusindikiza picha hizo wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti.
Kama kweli mng’o unaoonekana kwenye vitu hivi vyote ni dhahabu, basi hakuna sababu kuna kila sababu ya kuwaita wafalme wa mziki Africa kutokana na thamani ya pesa waliyotumia kutengeneza samani hizi
No comments:
Post a Comment