BAADA YA LULU KUJIPENDEKEZA KWA JUSTIN BIEBER, DIVA WA CLOUDS FM NAE AVUNJA UKIMYA NA KUSEMA ANAMZIMIKIA SANA HUYU STAR
Mwanadada mtangazaji
Diva aka the Bawse, yupo tayari kubadili dini ili aweze kuolewa na
mwanaume aitwaye Omar Borkan, na wala mtangazaji huyo hatojali hata
akiwa mke wa ngapi, ilimradi aolewe na mwanaume huyo. Kupitia mtandao wa
instagram mtangazaji huyo alipost picha ya mwanaume huyo na kuandika
manano haya ” Hata dini ntabadili wallah… Anioe tu huyu kaka … Hata mke
wa ngapi poa @omarborkan isn’t he just a cute man on earth guys? ”

Omar Borkan ni mwanaume mwenye asili ya kiarabu na anafanya shughuli
za Photographining, mwandishi wa mashahiri na pia ni Actor kutoka Dubai,
mwanaume huyu anamvuto kiasi cha kuwachanganya wakina dada wengi.
Kutokana na mvuto wake huo, Omar Borkan alishawahi kuponzwa na umvuto
wake alionao kiasi cha kufikia kufukuzwa katika moja ya sherehe Riyadh
na polisi wa kidini ya kiislam. Na pia kaka huyu alipewa amri ya
kuondoka kabisa nchini Saudi Arabia kwa kuwa atakuwa akiwachanganya
wanawake kwa mvuto wake.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
No comments:
Post a Comment