04 November 2013

ANGALIA PICHA YA KIJANA AJINYONGA KUKWEPA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE

 Mwanafunzi  aliyekuwa akisubiri kufanya  mtihani  wa kidato cha nne unaotaraji  kuanza kesho Bw Khamis Mkundo mkazi  wa Mwangata C katika Manispaa  ya Iringa  akiwa amejinyonga  usiku  huu kuhofu  mtihani  wa kidato cha nne
 Mwenyekiti  wa serikali ya mtaa wa Mwangata C Bw Sarehe Mgimwa akisoma ujumbe  ulioachwa na marehemu huyu 
BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAIDI
 Askari  kanzu  akikagua  mwili wa mwanafunzi  huyo 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname