So Diamond Platnumz jana alikuwa
miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria harusi ya kimila ya Peter
Okoye wa kundi la P-Square na mchumba wake, Lola Omotayo iliyofanyika
jijini Lagos, Nigeria.
Kwenye harusi hiyo, Diamond alipata
nafasi ya si tu kushuhudia Peter na Lola wakisema ‘Yes I do’ bali pia
aliweza kuchill na cream ya mastaa wa Afrika wakiwemo Iyanya na mchezaji
wa timu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Togo, Emmanuel
Adebayor.
Alipata pia fursa ya kuwaonesha Adebayor na Iyanya style yake ya kucheza ya Ngololo
Hata hivyo, kitu kimoja hakikwenda sawa.
Ni nguo aliyokuwa ameivaa, ambayo iligeuka gumzo kwa mashabiki wengi wa
muziki nchini Nigeria waliosema kachemka.
Issue ilikuwa hivi, Iyanya alipost picha
akiwa na Diamond pamoja na jamaa mwingine na kuandika: With
@ubifranklintriplemg @diamondplatnumz after @peterpsquare trad.”
Polisi jamii wa masuala ya mitindo, wakamweka kitimoto:
[ @ ] chickchuky d dude in d middle…wat d hell,,,see men standing beside u…abeg shuuuuuuuuuu I love @iyanya
[ @ ] oakis2000 Whats with the micheal jackson style pant in the middle lol 13h
[ @ ] iamzarajays The object in the middle though…. Dear father forgive me for I have sinned.. Sighs
[ @ ] iheart_swk Sorry no hating but it doesnt suites ur muscular bodi well well darling
[ @ ] genovan @dimondplatinumz u shud
get personal designer…..that outfit…i kno u copy t 4m ur role
model…..she was looking gud tho in those pictures she took when she
landed 4m China..unlike u…….u absolutely looks like joker.
[ @ ] agathonyjohn He is east africa michael jackson @chickchuky ..from Tanzania ain’t he dope?
[ @ ] zinwaogb Wow he can sing, just watched his number one video on YouTube, I can’t hate on talent nice one diamond
[ @ ] nikkipollo139 Iyanya u look gorgeous n ubifranklintriplemg but diamond please go change ur cloths for pits sake
[ @ ] kagebby Daimond ulivyovaaaa
utafikiria clown……Sasa daimond unatuangusha ndungu….Iyany……sio mbaya ila
Daimond anakuj kukufunikaaaaa balassaaa 7h
[ @ ] clarahcut3 @dhahabu87 please stop
defending whats not right, the clothes are nice but not good for him, so
he should know that not every good cloth will look good with him, and
those are among the clothes that dont look good on him, even if he is my
fellow Tanzanian but he dont look good and he bored me for real he
could atleast ask before getting out @genovan @mwatumu37 looking great
brother @iyanya
[ @ ] ngozi80 4 God sake they should
have a fashion adviser someone who can give them sone fashion skills b4
going out or 4 red carpet 2

No comments:
Post a Comment