11 October 2013

ZITTO --Wabunge wa CCM wanataka kujiongezea muda wa Ubunge hadi 2017

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mkakati unaofanywa na wabunge wa CCM kujiongezea muda wa kuendelea kukaa madarakani kwa kujitahidi kuzuia na kuhujumu Mchakato wa Katiba

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname