02 October 2013
WAKENYA WAINGIA 'ADOBE PHOTOSHOP' NA KUTENGENEZA PICHA CHAFU ZA YULE DADA WA AL SHABAAB ALIYEWAVAMIA..
Baada ya shambulizi la Al shabaab nchini Kenya lililoongozwa na Mwanamke Samantha Lethwaite na kuua wakenya 69,wananchi wa nchi hiyo wameamua kuhamishia hasira zao mtandaoni kwa "kumpika" huyu dada akiwa katika pozi la kimahaba...
Katika picha hizo zilizoanza kusambaa juzi, mdada huyo anaoneka akifanyishwa mapenzi porini huku baadhi ya picha zikimuonesha akiwa katika pozi la ukahaba huku akiwa ameshika bunduki...
Kwa nini wakenya wameamua kufanya hivyo?:
Maamuzi hayo yamechukuliwa ili kumalizia hasira zao dhidi ya mwanamke huyu ambaye ni gaidi wa kimataifa anayesakwa kila pembe ya dunia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment