SIO SIRI TENA, SIKU HIZI UKISHIKWA UMEIBA SUPERMARKET ZA BONGO UNAFANYWA HIVIII!!!!
mimi ni choriiii
Wadada wa mjini, kuna wengine wanajifanya wajuajiii kumbe ni machorii, hebu
huyu hapa yaliyomkuta daaah aibu gani hii msichana mrembo unavalia
unapendeza, unaenda supermarket kuiba.
yote hii ni kutaka mambo makubwa ,hivi mnafikiri zile camera zimewekwa pale
kama mapambo? ishi uwezavyo na ukienda supermarket chukua kile mfuko wako
unaruhusu lasivyo yatakukuta yaliyomkuta
No comments:
Post a Comment