26 October 2013

PICHA YA JOKATE YAMPONZA LULU

Stori: Mwandishi Wetu

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amejikuta akiambulia maneno makali kutoka kwa mashabiki baada ya kuposti picha ya Jokate na kumsifia katika mtandao wa Instagram.

Lulu aliiposti picha hiyo kwa nia njema kabisa ambapo kuonesha kuwa anamkubali Kidoti, alimwagia sifa kuwa ana uzuri wa ziada ndipo wafuasi wa mtandao huo walipotema
mbovumbovu.


“Anampiga vijembe Wema huyu, mtoto mswazi sana huyu…mnafiki huyu mimi nishamjua hanipi shida siku hizi,” walichangia wadau tofauti mtandaoni.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname