MIEZI michache baada ya mwanaume aliyetambulika kwa jina la Hamad Kipondo kufia gesti akiwa na mke wa mpangaji mwenzake, Latifa Seleman siri imevuja kuwa alimeza dawa za kuongeza nguvu za kiume ‘viagra’.
Akizungumza na Amani kwa majonzi mazito hivi karibuni, mjane wa marehemu aitwaye Salma Abdallah ambaye ni Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Chadibwa, Ukonga Ilala jijini Dar es Salaam alisema mumewe hakuwa na tabia ya uhuni na siku ya tukio ilikuwa mara ya kwanza kukutana na mwanamke huyo.SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment