KANYE WEST NA KIM KUSIGN MKATABA WA KILA MTU NA MALI ZAKE WAKIOANA...HAKUNA KUSHARE
Hii ni kali ya mwaka imegundulika
kuwa Kanye West na Kim Kardashiam wamekubaliana kusign mkataba ambao
endapo wataoana kwa ndoa hivi karibuni basi kila mtu atakuwa na mali
zake kivyake ili endapo wakiachana wasigawane mali jambo ambalo huleta
vita sana katika mahusiano ya ndoa endapo
yatavunjika.....Katika hilo
watakuwa na account moja tu ya kuendesha familia ambayo watakuwa
wanachangia ...Je wewe walionaje hilo ? linafaa hapa Bongo ?
No comments:
Post a Comment