MTANGAZAJI maarufu Bongo, Jokate
Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul
‘Diamond’ alitaka wazae kipindi walipokuwa wapenzi.
Jokate alifunguka hayo juzikati
alipokuwa akifanya mahojiano maalum na mapaparazi wa Global Publishers,
pamoja na kufunguka mengi, alibainisha kuwa Diamond huwa anapenda watoto
kwenye uhusiano.
“Mh! Diamond anapenda kuzaa, tena siyo kwangu tu wanawake wake wote huwa nasikia anataka kuzaa nao,” alisema Jokate.
No comments:
Post a Comment