15 October 2013

HUYU NDO YULE MWANAUME ALIYEVAMIA BENKI NA KUIBA MSHIKO, KISA KUZIGAWA KWA MASIKINI. SOMA HAPA

corey-resize-1-522x293
Mtu mmoja raia wa Australian baada ya kushikiliwa na polisi kwa kosa la kuvamia bank huko marekani na kukwapua zaidi ya dola milioni 14 hatimae amejitetea kuwa fedha hizo aligawia masikini.
Corey Donaldson, (39) kama alivyojitambulisha mwenyewe amesema amechukua uamuzi huo kutokana na uzoeu wake wa maisha duni kabla awe jinsi alivyo.
In an emotional opening statement Donaldson said: “I must say, I feel like a frightened child.

“I came up with the idea that since the banks had been bailed out, and the people had not, I was going to confiscate money from US Bank in Jackson, Wyoming, and redistribute it to the poor and homeless in America and that’s what I did,” he said.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname