02 October 2013

HUYU NDIYE JACKLINE WOLPER MASAWE NA SIO MASOGANGE, LULU, WEMA..!! LAKINI SASA....!!




Ni msanii pekee aliyejinyakulia tunzo ya ijumaa sexiest girl 2012 huk akiwamwaga masogange pamoja na beautiful onyinye malkia wa scandal wema abraham sepetu,pia ni msanii wa kwanza kuliko wote aliyejaribu kuishi maisha ya ki staa uko mbezi beach kwenye mjengo wa maana uku akisukuma ndinga expensive BMW X6,akiwaacha mbali wenzie,kama wema sepetu,irene uwoya pamoja na lulu michael,ila badae maisha yalimshinda na kuamia kinondoni,uku wenzie kama wema sepetu na lulu wakiongoza kuishi maisha ya kistaa kuliko wasanii wengine wote apa bongo,japokuwa lulu tu ndiye aliyebahatika kujenga nyumba akiwaacha mastaa wenzie mbali kimaendeleo japokuwa yeye ndiye msanii mdogo kiumri na mwenye mvuto wa kistaa kuliko wasanii wote apa Bongo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname