03 October 2013

HII KALI IRENE UWOYA AMPATIA MTOTO WAKE POMBE.JIONEE MWENYEWE PICHA

 
Picha aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya msanii huyo ashambuliwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha tabia mbaya mtoto wake huyo.  
Irene amepost picha hiyo akiwa Jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru na msanii mwenzake Blandina Chagula‘Johari’wakila bata na marafiki zao wa huko.  
Watu hao walimwambia Uwoya kuwa siyo malezi mazuri hata kama ameshika au kunywa kabisa anatakiwa kuwa mama wa mfano kwa tabia njema kwa mtoto. …cio malezi ata kama ameshika au kunjwa kabisa. b a good mother….Huku mwingine akicomment ….Ayaaa atapombeka huyo… dayanachuwa crish hapan shika hiyo mbaya sana.ntakusemea kwa anko babu 1d
• chiispice Acha kushika hiyoo dudu @totoo zuyi crish...
• bawilid hell no

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname