11 October 2013

HATIMAYE RAPPER NIKKI MBISHI PAMOJA PRODUCER MBEZI WAMALIZANA TOFAUTI ZAO.


1
Siku ya jana tarehe ya tarehe 10 mwezi huu wa 10 rapper Nikki Mbishi ambae alikuwa kwenye beef kubwa sana Producer Godfather Mbezi kutokea studio ya Smart Music.

Sasa hatimaye wawili hao wamemaliza tofaoti zao siku ya jana na kupanga kufanya ngoma moja siku za hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname