BREAKING NEWZZZ...NDEGE IMEANGUKA ENEO LA GONGO LA MBOTO DSM
Breaking
News:Ndege ndogo ya Kampuni ya Aslum imeanguka eneo la Gongolamboto DSM
ikiwa kwenye mafunzo ya vitendo kwa mwanafunzi wa urubani.Ndege hiyo
ilikuwa na rubani 1 na mwanafunzi 1
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE
No comments:
Post a Comment