Taarifa
iliyotufikia asubuhi hii,inaeleza kuwa Balozi Issac Abraham Sepetu
ambaye pia ni Baba mzazi wa Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu.Amefariki
Dunia asubuhi ya LEO KWENYE HOSPITALI
YA TMJ MIKOCHENI.ALIKUWA AKISUMBULIWA KWA UGONJWA WA KISUKARI NA KIHARUSI...TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE ENDELEA KUWA NASI
YA TMJ MIKOCHENI.ALIKUWA AKISUMBULIWA KWA UGONJWA WA KISUKARI NA KIHARUSI...TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE ENDELEA KUWA NASI
No comments:
Post a Comment