11 October 2013

ANGALIA PICHA ZA BONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYOAMUA KURUDI SHULE

Bondia Francis Cheka akiwa darasani hapa akimsikiliza mwalimu aliyekuwa anafundisha soms la computer.Cheka ametimiza ahadi yake ya kurudi shuleni kuongeza ujuzi zaidi mara daada ya chuo cha St Joseph cha mjini Morogoro Kumpa nafasi ya bondia huyo kusoma bure chuoni hapo ikiwa ni ahadi waliyoitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Wakati wa sherehe ya kumpongeza bondia huyo..ANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname