08 October 2013

ANGALIA PICHA YA MTUHUMIWA ALIYEKUWA ANAWALEWESHA WANAWAKE NA KUWAIBIA


JESHI la Polisi Kituo cha Pangani, Ilala Dar es Salaam lilimnasa kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Abdallah kwa tuhuma za kuwawekea wanawake madawa ya kulevya katika vinywaji kisha kuwaibia, Amani linakujuza.
Ishu hiyo ilijiri Jumatatu iliyopita katika baa moja iliyopo Amana, Ilala jijini Dar es Salaam ambapo baada ya kunaswa, mlalamikiwa huyo  alipelekwa katika kituo hicho cha polisi kwa hatua zaidi.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, mtuhumiwa alitiwa mbaroni baada ya kuwekewa mtego uliomnasa.
“Polisi walikuwa wakimsaka kwa muda mrefu  kutokana na madai ya kuwatilia ‘unga’ watu, hasa wanawake kwenye vinywaji kisha kuwaibia.



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname