Jamaa
aliyekuwa na msongamano wa mawazo (stress) akiwa ofisini mwake, ghafla
alishtushwa na mtu aliyekuja mbio ofisini mwake huku akimwita 'Peter,
Peter,Peter, binti yako amepatwa na ajali mbaya sana na hivi sasa yupo
mochwari.,'
Jamaa
akashtushwa zaidi na kuchanganyikiwa, kwa haraka akajirusha kupitia
dirishani mara akiwa anaanza kuanguka kushuka chini akakumbuka ofisi
yake iko ghorofa ya 7, na alivyozidi kushuka akakumbuka tena mtoto wake
haitwi Tonia, huku akizidi kushuka chini zaidi kwenda ardhini akakumbuka
kuwa hajaoa pia na kabla ya kutua ardhini akakumbuka kuwa hata Peter
siyo jina lake....!
ACHA KUJIUMIZA KUPITA KIASI KWA KUFIKIRIA SANA, AMINI MUNGU YUPO NA ANAKUPIGANIA, ENDELEA KUOMBA NA MUNGU ATAKUWA NAWE DAIMA.
ACHA KUJIUMIZA KUPITA KIASI KWA KUFIKIRIA SANA, AMINI MUNGU YUPO NA ANAKUPIGANIA, ENDELEA KUOMBA NA MUNGU ATAKUWA NAWE DAIMA.
credit--tabasamu na fuledi
No comments:
Post a Comment