VILIO vimetanda msibani kwa msanii wa
filamu za Kibongo, Zuhura Maftah ‘Malisa’ aliyefariki dunia jana akiwa
hospitali ya Hindu Manndal alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na maumivu
makali ya kichwa.
Msiba wa msanii huyo upo nyumbani kwa dada yake Mikocheni na mazishi yatafanyika kesho makaburi ya Kinondoni.
Msiba wa msanii huyo upo nyumbani kwa dada yake Mikocheni na mazishi yatafanyika kesho makaburi ya Kinondoni.
SOURCE: GPL
No comments:
Post a Comment