Mwanamitindo
na Msanii wa filamu za Kibongo Lisa Jensen amepost picha za kwanza
kwenye mtandao wa instagram baada ya kujifungua wiki moja iliyopita. Lisa
aliandika ‘Exactly 1 week after baby’s arrival’huku watu wakizidi
kumpongeza kwa kupata mtoto wa kike aliyempa jina la Zara. ‘U a so cute n congratulation, Hongera mamy….iam dyn to da name gvn to yo buty and lovly byb,waliandika mashabiki wake. Mtoto wake aitwaye Zara
No comments:
Post a Comment