Pambano lililodumu kwa Takribani sku 4
kati ya Alshababu na Majeshi ya Ulinzi ya Kenya lilifkia Tamati Juzi
baada ya Rais Kenyata ku- declare pubicly kuwa The Mall is Completely
rescued.
Lakini Utata mwingi umeghubika Tukio
hili,hali iliyofanya Baadhi ya wanaharakati na Vyombo vya Habari nchini
Kenya kuhoji Uwazi wa zoezi zima la uwokoaji ikiwemo Idadi ya Vifo,
Mateka na Magaidi pia
Awali Rais wakati akihutubia Taifa
Mchana mishare ya saa 6 kuwa tayari Majeshi yameshinda palitokea
milindino ya Risasi Mithiri ya Majibidhano kati ya Majeshi na Magaidi
Mjengoni mda mfupi badae hii ilidumu kwa takribani Saa nzima na
kujirudia tena saa 1jioni, hali hii ilizua waswas kuwa huenda bado
Magaid yalikuwemo pa1 na kauli ya Raisi, Watu wanahisi kuwa Rais aliwahi
kutangaza ushindi Mapema kabla ya Magaidi yote hayajawa Kontrolled, Na
kama ni hivyo ni kwa Mantiki ipi Watu wamekuwa wakihoji.
Sinitojua nyingine ni kuhusu MATEKA
waliokuwa ndani ya Jengo ambao serikali iltangaza wawli kuwa kulikuwa na
Mateka zaidi ya 150 walokuwa wameshikiliwa mjengoni, Cha ajabu baada ya
zoezi kuisha ni watu wachache sana waloweza kuonekana idadi isyofka
hata 30, hakuna Mateka alionekana akitoa ushahidi wa jinsi walvyotekwa
ndani na waliishije wakiwa humo kama mateka kwa hzo cku 4, hofu ilizid
maradufu baada ya Al Shababu jana kutangaza wazi kupitia Mtandao wao
kuwa waliua Mateka 157, Hofu imetanda zaidi na Serikali huenda ina siri
nzito kuhusu hili.
Wakati wa zoezi la kuoa lilipofikia
hatua flani waandishi wa habari woote walifukuzwa na Majeshi ya Ulinzi,
Chombo flani cha habari kilichokuwa kimeweka kambi kama Mita 300 toka
kwenye eneo la Tukio kilishuhudia Ambulances na Magari ya Majeshi yakija
kwa jasi hadi kwenye labgo la Jengo hilo na kisga kuondoka kwa spidi
kali kuelekea kusikojulikana, hali hii ilidumu siku nzima ya 3 na ya 4.
Watu wanafjiri Huenda ni Miili ya Mateka walokuwa wameshikiliwa na
kuuawa na Magaidi au kuuawa kufatia majibizano ya risasi kati ya Majeshi
na Magaidi,Serikal haikuweka wazi hapa
Hofu nyingine ni kuhusu idadi ya vfo
imekuwa ikitofautiana awali Red Cross walidai vifo kufkia 68 lakini
badae Rais Kenyatta alltangaza watu 62 kupoteza Maisha, Wakati vyombo na
Mashirika ya habari toka magharibi vnadai Watu zaidi ya 70 kupoteza
Maisha.
NI ZAIDI YA UJUAVYO.
No comments:
Post a Comment