Aina ya kucheza inayojulikana kama “ngololo” iliyoko kwenye wimbo mpya
wa Diamond “Number One” umeonekana kuwa maarufu sana nchini na watu
wengi kuupenda na kuucheza, na hata kutuma clips za video zao
wakiji-record huku wakicheza mchezo huo, kupitia mtandao wa instagram,
Vodacome wameamua
kutoa zawadi za Ipad kwa washindi watakao cheza vizuri aina hio ya kucheza.
unachotakiwa kufanya ni ku-record video ukicheza ngololo, tuma kwenye
mtandao wa instagram na kutumia #VodaxomeNgololo hashtag, share picha ya
video kwenye mtandao wa facebook kwa kutumia application a Instagram
kisha follow account ya Vodacom Tanzania kuingia kwenye shindano hilo.
Shindano hilo litafungwa tarehe 18-9-2013, atakae pata LIKES nyingi kwenye account yake ndio atakaeshinda.diamondplatnumz

No comments:
Post a Comment