Natumaini mu wazima wa afya njema.
hili ni swali linalonitatiza kila siku
ni sababu zipi zinazopelekea mwanaume kugeuka na kumwangalia tena
mwanamke mara tu
wanapopishana mfano njianije ni sababu zipi zinazopelekea kutokea na kuendelea na hali hiyo.
No comments:
Post a Comment