Meneja
wa Vodacom Foundation anayesimamia kitengo cha MWEI Bi. Grace Lyon
(kulia) akimshuhudia Bi. Beatrice Shayo, mkazi wa Kunduchi, Dar es
Salaam, akisaini fomu kabla ya kupokea mkopo wake kupitia mradi huo. Bi.
Shayo ni mmoja wa wanawake wajasiliamali zaidi ya mia moja kutoka
Kunduchi waliopokea jumla ya shillingi millioni 18 kupitia mradi wa MWEI
ili kuanzisha biashara. Zaidi ya wanawake 2800 wamepokea mikopo mwaka
huu. Mikopo hio haina riba.
Meneja
Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bi. Rukia Mtingwa (kushoto)
akimueleza jambo Bi. Fatuma Said, mkazi wa Kunduchi, Dar es Salaam, mara
kabla kupokea mkopo wake kupitia mradi wa MWEI. Bi. Fatuma ni mmoja wa
wanawake wajasiliamali zaidi ya mia moja kutoka Kunduchi waliopokea
jumla ya shillingi millioni 18 kupitia mradi wa MWEI ili kuanzisha
biashara. Zaidi ya wanawake 2800 wamepokea mikopo mwaka huu. Mikopo hio
haina riba
Meneja
Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bi. Rukia Mtingwa (kushoto)
akimueleza jambo Bi. Rehema Ali, mkazi wa Kunduchi, Dar es Salaam, mara
kabla kupokea mkopo wake kupitia mradi wa MWEI. Bi. Rehema ni mmoja wa
wanawake wajasiliamali zaidi ya mia moja kutoka Kunduchi waliopokea
jumla ya shillingi millioni 18 kupitia mradi wa MWEI ili kuanzisha
biashara. Zaidi ya wanawake 2800 wamepokea mikopo mwaka huu. Mikopo hio
haina riba.
?
No comments:
Post a Comment