14 September 2013

MANGE ATOA ONYO KWA WADADA WALIOJARIBU KUMWIBIA NA KUKUTWA NA NGUO KWENYE HAND BAG ZAO

Tamaa ni mbaya jamani..... Ni vyema ukijikubali maisha yako. This goes out to wale wachache niliowashika na nguo zangu kwenye handbag zenu next time i won't be so nice ntaaibisha humu....Naomba muwe wastaarabu kama wateja wengine,unadhani natoka marekani mpaka bongo so you can take my stuff for free.....LAST WARNING ....NEXT TIME MTANIONA MBAYA, YANI NIKIKUSHIKA HATA NA KIMKANDA NAKUMWAGA HUMU......USTAARABU KITU KIDOGO SANA....Imagine mtu analipia kitu kimoja then anaiba 2 items.... kama huwezi ku afford nguo zote unazotaka huna haja ya kuiba work harder kuna siku utaweza ku afford hata nguo kumi.....

Na kwale ambao mlikuwa offended kuchekiwa handbag zenu wakati mnaondoka nisameheni bure tu wapenzi, ila ndo hivyo by the time nyie mnakuja nilikuwa nishalizwa ndo maana nikaweka mlinzi mlangoni wa kucheki handbags.....

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname