RAIA mmoja wa nchini China anayejulikana kwa jina moja la Xiaolian,
mwenye umri wa miaka 22, ametengenezewa pua nyingine na madaktari ambayo
sasa
imewekwa kwenye paji lake la uso, baada ya ile ya asili kuharibika katika ajali ya gari iliyomkumba Agosti, 2012. Madaktari wameitengeneza pua hiyo kwa kutumia sehemu mbalimbali za mwili wa mtu huyo zikiwemo sehemu za mbavu na ngozi yake. Operesheni hiyo imefanyika katika hospitali moja huko Fuzhou, katika Jimbo la Fujian. Wataalam hao wanatarajia kuihamisha pua hiyo na kuiweka sehemu ambapo pua yake ya zamani ilipokuwa.

No comments:
Post a Comment