11 September 2013

APPLE’S WAMEJIPANGA KUIPITA ANDROID, WALETA IPHONE ZA PLASTIC

Company ya apple imeanza kupata misukosuko katika soko la smart phone hadi kupelekea kushuka kwa thamani katika soko la hisa.
Apple wameanza kutengeneza iphone za plasti ambazo zitakuwa na rangi tofauti tofauti kama pink, kijani, blue, nyeupe na njano.

Iphone 5C ni toleo jipya la iphone ambayo itakuwa ya plastic kama samsung, sony, HTC, LG na Motorola.

Dhumuni kubwa la kutengeneza iphone za plastic ni kuongeza soko la iphone kwa watu ambao walikuwa hawawezi kununua iphone kipindi cha nyuma

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname