11 September 2013

ANGALIA PICHA ZA NJEMBA YAMKUTA MAZITO BAADA YA KUNASWA NA KAMPUNI YA SIMU KWA WIZI WA KUTOA FEDHA KIAINA..


NJEMBA moja iliyojulikana kwa jina la Haji Bakari maarufu kama Mchome limekamatwa baada ya kudaiwa kutapeli kiasi cha shilingi 570,000 kwa njia ya simu za mkononi.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, njemba hilo lilifanikisha utapeli huo kwa kutumia majina ya watu wanaofahamiana na washirika kibiashara.
SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname