TAZAMA PICHA ZE KING CRAZY GK AKIWA NA TEAM NZIMA YA EAST COAST KUMPA SUPPORT GK KWA UJI WAKE MPYA
AY, Mwana FA, Snare,Buff G na Pauline Zongo wote leo wameungana kumpa
support King Crazy GK aliyekuwa akitambulisha ngoma yake mpya na ujio
wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu. Ngoma hiyo imetambulishwa
kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.ECT wakiwa na watangazaji wa XXL, Clouds FMGK akiongea
No comments:
Post a Comment