14 August 2013

HIVI NDIVYO DIAMOND NA JAGUAR WAKITANUA JIJINI NAIROBI

Baada ya kumalizana na miki miki ya hapa na pale
jijini na Nairobi kisha kuhamia Mombasa,
Niliamua kurudi Nairobi kidogo kabla ya
kuondoka kurudi Nyumbani Tz.....


Nairobi ni kama nyumbani kwakuwa ni na ndugu pia
ata wakubwa zangu,nikisema ndugu aimanishi ni ndugu
wa kuzaliwa nae tumbo moja lakini namaanisha ni urafiki
 wa karibu kati yangu na baina ya watu
nchini Kenya ambao nawaamini na kuwathamini....!!

My Best Jaguar ndio alikuwa Mwenyeji wangu
 nilipowasili tena Nairobi kutokea Mombasa
tulipanga tukutane tuweze kujadili mambo mawili,
matatu kuhusiana na kazi zetu kiusanii
baada ya hapo tupate muda wa kuchil
na stori nyingine ziweze
kufata zaidi,Namshukuru Mungu kwa kuniweka
salama na kuzidi kuniongoza kwenye
njia zake na kunibariki zaidi na zaidi,hakuna w
akupaswa kumshukuru na kuabudiwa
zaidi ya Mwenyezi Mungu.....!

Baada ya Stori kadhaa tullienda kwenye mizunguko,ebhana eeeh hatua ya kwanza
tulikuwa tumewasili kwenye ofisi za Ogopa video Production,hahahahahaha
ushaelewa wewe....mtu mzima sipaswi kukujuza zaidi....
Hapa along side with My cuzini Blood Rommy Jones & Jaguar mzee wa Kigeugeu.
Baada ya Rapsha za hapa na pale jijini Nairobiiiiii
duh si unajua tena kama kawaida
yangu nikiwa Bongo ntakimbilia kwa Mama
Naseeb au kwa Beib mama
lakini hapa nilipelekwa na mwanangu Jaguar hotel
 moja hvi'kugonga vitu vya kinyama
unakula menu Panya haruki yanii panajulikana kama
Java.....My Thanks To Jaguar mzee wa kipepeo
Mwisho wa yote ni muda ukawa unazidi kuyoyoma
 alafu mimi ndo kama vile
ilikuwa inanipasa kuondoka nchini kenya
Kurudi Tanvile au Bongo DSM kwa Baba Jakaya
Nyumbani,au vipi bhana watu wangu wamenimiss,
nyumbani ajajajaja sitaki sema mengi Inshallah tukutane nyumbani.......

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname