04 July 2013

Kalla Jeremiah,G Nako,Ordinally,Chibo,Mo Plus,Jordan,Chaba,TDX & Da Hustler Coming Soon









Hizi ni Screenshots za video ya wimbo unaoitwa Life Goes On, ikiwa ni wimbo ambao upo series moja na wimbo uliotoka mapema mwaka huu ulioitwa Wazi ukiwa umeshirikisha mastar wa Afrika mashariki na kusini, Video ya Life goes on itatangulia kutoka mapema wiki ijayo ikifuatiwa na audio yake hapo baadaye, niliamua kufanya hii project kwaajili ya kuwapa watu moyo na kuwasihi wasikate tamaa kwani maisha yana ups na downs ambazo siku zote kuna njia mbadala ya kujikwamua na kusonga mbele, Life Goes On inawafeature Mo Plus,Chibo,G Nako,Kala Jeremiah,star wa Mapenzi Vita Jordan,Chaba,Ibra Da Hustler,Ordinally toka Jambo Squad na TDX,umetengenezwa na John B ndani ya Grandmaster Records.

John Blass Mallya
For,
    Grandmaster Records, Kaz Studio, Cannibal Shattah & Makini Music
    +255787276352, +255754201643, +255715201643, +254729990851
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
www.kazstudioarusha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname