05 June 2013

Monekano wa Jukwaa na Sehemu ya Kuuaga Mwili wa Marehemu Albert Mangwea Ndani ya Viwanja vya Leaders Club



 Sehemu hii ndipo mwili wa marehemu Albert Mangweha ndio utawekwa hapa tayari ya kuanza zoezi zima la kumuaga.


Kwa wale mashabiki wa EAST Cost nadhani watakuwa wanamfahamu msanii huyu anajulikana kwa jina la PUFF G nae amekuja japo apate picha ya ukumbusho kidogo maana baadae hapa patakuwa na msongamano wa watu wengi sana.
From:DjChoka

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname