07 June 2013

MCHUMBA WA KIZUNGU WA MANGWEHA AWA KIVUTIA MSIBANI.

  Mcumba wa marehemu Albet Maangeha Bi, Michelle Looise Hancock raia wa Uingereza akiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa mchumba wake. jana
  Mzungu huyo akiwa dada zake Albet kutoka kuliani ni Anna Keneth Mangweha,Magreth Keneth Mangweha na Neema Keneth Mangweha.http://audifacejackson.blogspot.com

  Marafiki wa marehemu Albet Mangweha wakiwa kwenye picha ya pamoja na Shemeji yao 
NA PICHA DUSTAN

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname