Angalia PICHA......BAADHI YA MIILI YA WATU BAADA YA KULIPULIWA NA MLIPUKO UNAOSADIKIKA KUWA NI BOMU
Watu
saba wamejeruhiwa kwa mlipuko unaohisiwa kuwa ni bomu,mara baada ya
mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa
ukifanyika katikaViwanja vya Soweto Mjini Arusha. Kwa habari zaidi
Endelea Kuwa nasi.
No comments:
Post a Comment