M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea..Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa amefichwa na kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa ametangulia Tanzania. Baadaye Maggie alilazimika kumweleza ukweli .http://audifacejackson.blogspot.com.....



No comments:
Post a Comment