DAKTARI
KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO AKIANGALIA MWILI WA MTU ANAYEDAIWA
KUWA NI JAMBAZI BAADA YA WANANCHI KATIKA KIJIJI CHA MWANZOMGUMU MANISPAA
YA MOROGORO KUMUA HUKU MAJAMBAZI HAYO NAYO YAKIJERUHI WATU WAWILI NA KUPORA KIASI CHA PESA SH 2.3 MIL KATIKA SOKO LA NDIZI
No comments:
Post a Comment