11 May 2013

BAADA YA KUGAWA KICHAPO KIKALI KWA MKE WAKE, MSANII HAMMER Q AFUNGUKA YA MOYONI SOMA ALICHOKIANDIKA MWENYEWE



Mambo vp waungwana??
Ningependa kutumia muda huu kuandika kilichopo ktk moyo wangu na kifike kwa jamii yote iliyonizunguka ,
kikubwa zaidi ni..
kuomba msamaha kwenu juu ya tukio nililolifanya wiki iliyopita, napiga magoti mbele yenu na kukiri kuwa nimewakosea nawaomba mnisamehe,
hata km ndani nimeshasamehewa lkn itakuwa siuungwana km sitawaomba msamaha wakubwa zangu pamoja na wadogo zangu 7bu najua nilichokifanya kiliwauma na kuwakera sana sana mpaka nashindwa sema ni sana kiasi gani, lkn sitochoka kuomba msamaha kwenu na sitarudia tttena, ,, kila mtu alisema lake hata km alikuwa hajui wengine walipata kupendezesha vipindi vyao kwenye maradio na mablog pamoja na magazeti, mtihani wangu ulikuwa biashara kwao lkn simlaumu yyt kwani nilifanya kitu cha kijinga na kisichokuwa na ubinadam,,

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname