21 April 2013
Home / Mapenzi, Media Bar / My Ex Anataka Nimwazime Hela! My Ex Anataka Nimwazime Hela!
Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa
nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa
pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu
bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba
nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo
hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia
text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim
sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment