29 April 2013

FAHAMU...Je! ni kweli kwamba mtu mwenye damu group 'O' hapati ukimwi?

Habari wadau!

Nimekuwa nikisikia muda mrefu watu wakiongea kwamba mtu mwenye damu group O ni vigumu sana kupata Magonjwa mbali mbali ikiwemo ugonjwa hatari wa ukimwi!

Vile vile kuna ushahidi wa watu wawili ambao wamekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu na kufiwa na wenzi wao ambao walifariki kwa ukimwi na wamezaa zaidi ya watoto wawili wawili na wao ni group O mpaka leo hawana ukimwi!
Naombeni wataalamu wa magonjwa na mahusiano katika damu wanisaidie kutatua swali hili!

Nawasilisha!

Quote By TanzaniaMaendeleo View Post

Mmh sidhani kama group 'O' pekee ni kizuizi kwa mtu kupata maambukizi, ila kuna utafiti ulifanywa na mabigwa katika fani ya udakitari wa watu kuhusiana na kitu inaitwa protein CCR5 ikihusishwa na kitu inaitwa Delta 32 genetic mutation.Katika utafiti huo nilioutaja hapo juu watu wakadhaa waathirika wa HIV waliwekewa hiyo kitu na wakapona kabisa .

Issue iko hivi kuna watu wana bahati kuzaliwa na hiyo kitu inaitwa Delta 32 hivyo hawaambukiziki kabisaaa HIV(rejea mchangiaji aliyeeleza stori ya yule mama wa Kibera).

Ndipo mtafiti mmoja akachukua hizo chembe chembe na kwenda kuzipanda kwa mwathirika wa HIV na akapona kabisa.Jitihada zinazoendelea usiku na mchana ni kuhakikisha hiyo Delta 32 inazalishwa kiwandani kwa ubora ule ule kama unaopatikana kwa mtu ili wagonjwa zaidi wa Ukimwi watibiwe, itumike pia kama chanjo.Labda kwa kuhitimisha ni kwamba Ukimwi sio ishu kabisa kwa sasa , tuombe Mungu tu uzalishaji hiyo makitu ufanikiwe kwa haraka ili tuwaponye watu wengi zaidi Hembu Tupae na hii kitu Live hapa chini

The importance of the protein CCR5 in HIV/AIDS treatment research. CCR5 is a protein on the surface of immune cells. Some people have a genetic mutation, called Delta-32, which alters how that protein works, how often it appears, or changes its structure. People with the mutation have immunity to some strains of HIV, the virus that causes AIDS.CCR5 is the key to the Berlin Patient—Timothy Ray Brown—who, until recently, was the only person to ever be cured of AIDS.

Brown received bone marrow transplants from people who had the Delta-32 mutation. His body has been HIV-free for five years. And, last week, researchers announced that two other people successfully received the same treatment.But here's the thing, until today, I didn't totally understand how the connection between CCR5, Delta-32, and HIV worked.

There's a story (and some great digital illustrations) on NPR's Shots blog that makes the situation much more clear. HIV, apparently, have little spikes all over its surface. These spikes are how the virus injects itself into cells.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname