22 April 2013

DIAMOND ALIPOCHAFUA HALI YA HEWA MAISHA CLUB KWENYE KUMTAFUTA ALIEMWAGA POMBE YA MADEE , CHEKI PICHA 22 ZA SHOW ALIYOFANYA HAPA


Alipowasili alikutana na My Big Bro Chid Benz nae
akiwa amekuja kuchek show...




Mariam & Esma khan walikuwepo kumpa support
 madee usiku wa Jana....pia na
dada yangu halima kimwana ayupo pichani nae alikuwepo...
Moja kwa Moja niliena backstage kuonana na madee
kupanga mpango wa kumsaka aliemwaga pombe yake
DJ OMMY CRAYZ ON THE 1 N 2
Sema eeeehhhhhh....Semaaaa Ooooohhhh.....






Yaniii.......Mizuka ikapandaa pale umati wa watu ulivolipuka na kuanza
kuimba sambamba na mimi..





No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname